Neno la Shukrani

Neno la Shukrani

Kwa moyo wa dhati Taasisi ya Makumbusho ya Kisukuma Bujora inapenda kuwashukuru kila mmoja kwa mchango wake kama kupiga kura, kuisemea, kuitembelea na namna zote hata kupata tuzo ya ” The best Tourist Attraction, private owned” yaani kituo bora cha utalii chenye umiliki wa binafsi” Hii ni heshima kubwa tuliyopewa nanyi. Ni mwaliko wetu kuendelea kuenzi kituo hiki kwa misaada ya hali na mali, kukitembelea, kukitangaza na kukipatia mawazo ya kuendelea kukijenga na kukiboresha.

Welcome
Karibu
Tuliho