Neno la shukrani.
Kwa moyo wa dhati Taasisi ya Makumbusho ya Kisukuma Bujora inapenda kuwashukuru kila mmoja kwa mchango wake kama kupiga kura, kuisemea, kuitembelea na namna zote hata kupata tuzo ya ” The best Tourist Attraction, private owned” yaani kituo bora cha utalii chenye umiliki wa binafsi” Hii ni heshima kubwa tuliyopewa nanyi. Ni mwaliko wetu kuendelea … Read more